Umati wa watu ukiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya chakula uwanja hapo.
Moja ya Magari na wafanyakazi wa
Kampuni ya Usafi iliyopewa Zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green
Waste Pro Ltd likiwa limepaki katika Viwanja vya Jangwani kuhakikisha
Usafi unazingatiwa Uwanjani hapo wakati tamasha la Dini lililopewa jina
la LOVE TANZANIA likiendelea.
Pichani Juu na Chini ni moja ya
michezo iliyofanyika kama sehemu ya burudani uwanjani hapo ambapo
ilionekana kuvutia Umati wa Watanzania waliohudhuria tamasha hilo.
Vijana, Watoto kwa Wazee wakitazama mchezo wa mapikipiki.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Green Waste Pro Ltd akihakikisha swala usafi linazingitiwa uwanjani hapo kama inavyoonekana.
Wananchi waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia mchezo wa Baiskeli.
Palikuwa hapatoshi Jangwani.
Ulinzi na Usalama kwa raia ulikuwepo.
Familia zikiendelea kula, kunywa na kufurahi uwanjani hapo.
Hili ni Jukwaa la kimataifa kutoka
nchini Uganda maalum kwa ajili ya Tamasha lililopewa jina la LOVE
TANZANIA likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka nchini Marekani,
haijawahi kutokea kusikia Sound na Mziki wa Ukweli nchini kwa
mliohudhuria tamasha hili mtasema.