BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Saturday, August 7, 2010

COMING SOON TITLE MPYA NA MAMBO MAPYA WADAU WANGU

SORRY Wadau kwa kuwa kimya kwa muda wote huo bila kupashana habari lakini yote hiyo ni katika hali ya kuweka sawa majukumu niliyonayo kuhakikisha unapata kilicho bora zaidi kupitia blog hii

tha zealot

Kikubwa naomba niwafamishe kuwa kwa takribani mwezi mmoja sitakuwa pamoja nanyi katika suala zima la kutundika manyuzi na kuwa update wadau wangu,hii inatokana na majukumu pia niko katika harakati za marekebisho makubwa ya blog hii kuhakikisha unapata unachokihitaji kuhusu mimi.
tha zealot

kutakuwa na ukimya kwa muda wote huo na baada ya hapo tegemea ujio wangu mpya ikiwa ni pamoja na jina jipya la blog na maudhui kwa ujumla. hivyo nawaomba msiondoke twende pamoja hata kwa kuchati pia katika face book page yangu ya frank aman mawenya/facebook.com utanipata hapo mdau wangu



Soorry kwa usumbufu utakaojitokeza...
see you soooon ma funs