Ni mshindi wa SERENGETI FIESTA FREESTYLE COMPETITION Mkoani Morogoro. Pia Katika Mashindano Ya Kitaifa Alishika Nafasi Ya Pili Yaliyofanyika Mkoani DAR ES SALAAM.
ROTA
"Natumai Ngoma Itafanya vizuri Na Kwakuwa Huu Ni Mwanzo Mashabiki Wangu Watarajie Mengi Mazuri Kutoka Kwangu" ROTA THE FREESTYLE DOCTOR.
Pia Kikubwa Zaidi Ninachoomba Kutoka Kwenu Wadau Ni Ushirikiano Ambao Utanifikisha mimi katika malengo Yangu ya kimuziki
“UAMINIFU katika mahusiano ndio unaonifanya nisiwe na orodha ya skendo katika maisha yangu, ukizingatia kazi zangu zinanikutanisha na majaribu mengi,”.
Ni kauli ya msanii gwiji wa muziki nchini Michael Denis a.k.a Joni Woka, ambaye alitamba sana awali akiwa na Wagosi wa Kaya katika albamu ya Ridandasi za Majungu.
Woka anasema, tangu alivyoanza kazi yake ya muziki na kuwa na mahusiano ya kimapenzi hajawahi kuwa na skendo yoyote na kwamba amekuwa mwaminifu na kuweza kuheshimu hisia zake.
“Tangu nianze muziki uhusiano wangu wa kimapenzi umekuwa na uaminifu na ndio sababu sijawahi kuwa na skendo hata moja, namshukuru Mungu kwa kuwa hivi sasa natarajia kuingia kwenye ndoa na kuachana na masuala ya girl friend,” anasema.
Anasema, kutokana na maisha ya wasanii wengi kuwa ya kwenda kwenye kumbi za starehe hatakama hawana kazi muhimu na ndio sababu ya kuwa na skendo nyingi ambazo zinaharibu uhalisia wa mtu mwenyewe.
MSANII chipukizi kutoka studio ya Tetemesha Recordz ya jijini Mwanza, Sagna Mganga ametoa wimbo mpya aliouita 'Yamenishinda' ambao ni mwendelezo wa wimbo wake unaotamba wa 'Mganga'.
Akizungumza na gazeti hili meneja wa msanii huyo, Kidy Bwoy alisema wimbo huo mpya ni mwendelezo wa wimbo wa mganga ambao anaeleza jinsi alivyopanga kwenda kwa mganga kwa ajili ya mpenzi wake lakini kutokana na masharti ya mganga ameshindwa kutimiza.
Katika wimbo huo Sagna anashangaa kwa nini mganga amwambie kuwa anadawa ya mapenzi ya kumtibu wakati mganga mwenyewe ameachwa na mkewe na yeye ni mganga, ameshindwaje kuzuia asiachwe.
Kutokana na kushangazwa na masharti ya mganga ndiyo kunampa mwanya wa kufikiria kwa upana zaidi hadi anatambua kuwa mganga huyo ni muongo au dawa zake zimeisha makali kwa kuwa kuna vitu ameshindwa kujitibia mwenyewe ikiwemo kuachwa na mkewe wakati anatangaza kuwa anadawa ya mapenzi.
Licha ya kutoa wimbo huo ameahidi kuwa anakamilisha vide za nyimbo zake mbili za 'Mganga' na huo wa 'Yamenishinda'.
Matukio yalivyokuwa katika Redds Fashion Night kusherekea kiaka 50 ya uhuru wa Tanzania na kuangalia sector ya urembo ni hatu gani imepiga...
Rosemary Kokuhilwa mbongo from US
Genevive Mpangala akiwa na contestants wa Miss TZ 2011
Banana Zorro akikamua jukwaani siku hiyo..
Binti Afrika akipita na warembo kuonyesha mavazi yake
Frankoo na warembo
Finalists wa Miss TZ wakifanya mavituz
Haya sasa ngoma za asili zilikuwepo
Mwasiti alikuwako tukioni
Oldies nazo zipo siku hiyo
Swaaagz
hapo vp?
HHi nimeipenda ndugu..
hasa hii
Daaah!!
Wakali hawa
Mama wa miaka hyo ushavaa hiyo?
Asanteee
Dar es Salaam. As the finalists of Miss Tanzania 2011 contest are ready to face the stage this Saturday, several activities had been conducted to ensure their performance is well organized and successful.
Early at the beginning of this weekend, the contestants were organized to showcase fashion clothes designed by local designers from Tanzania and abroad.
Ms Rosemary kokuhilwa a famous blogger and designer from Tanzania who based in United State was among the designers who were prepared the performance of the contestants on last Friday.
Ms Kokuhilwa said that the objective of the concert organized aim at creating talents and also to cerebrate the 50 years since Tanzania got independence.
“Beauty and fashion industry is among the sectors which are used as a source of developing the national income of our country… so we should commemorate the independent through giving contestants opportunity to showcase their talents,” said kokuhilwa.
She added that the concert will give experience and confidence to face the final stage on 10th September because the activities conducted there was the same like what is needed to do when they are at the final.
The finalists of Miss Tanzania 2011 got the opportunity to wear various clothes which were expressing the different types of clothes established since 60s years up to now to see its different for 50 years.
The event had given opportunity for the local designers like Kemy Sadick known as Binti Africa, Fransisca Shirima or Frankoo and Grace Kijo to showcase their fashion talent on designing.
Pageant's International presents the 5th AnnualMiss Teen Worldwide 2011 in Trinidad and Tobago from 4th October to 9th October, 2011 Five days stay in the Tropical Paradise of Trinidad and Tobago
Arrival Date: Tuesday 4th October, 2011 Pageant Night: Saturday 8th October, 2011
at the National Academy for the Performing Arts in Port of Spain.
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
TSJ yang'ara mashindano ya Utangazaji 2013
-
*Frank Aman, *Mwananchi
*Dar es Salaam*. Chuo cha uandishi wa habari cha Time School of Journalism
(TSJ) kibeibuka kidedea kwa kupata alama za juu katika...
QUEEN SPEAR NI BALAA
-
*Hii ni Poster ya Queen Spear,iliyosheheni mastaa kibao..inatabiliwa kuwa
ni filamu itakayofanya vizuri sana katika soko la filamu Tanzania..Usikose
kunu...