Jumapili hii kutakuwa na tamasha la wazi kutoka kwa kituo cha Television cha Eatv kikishirikiana na Epiq Nation katika maeneo ya Coco Beach kama ni mdau wa burudani unakaribishwa kwani kiingilio ni bureee kabisa..
wasanii kibao watakuwepo kama vile ..Nameless kutoka kenya, Chid Benz, Diamond na Mwasiti... so usikose wangu nami ntakuwepo kukuhabarisha kinachoendelea...