BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Saturday, November 12, 2011

NGOMA MPYA 'YALAITI' TOKA KWA MWANA FA...


MWANAFALSAFA ambaye anafahamika zaidi kama Mwana FA, sasa ameamua kuandika mashairi yaliyotokana na wimbo wa taarab ambao uliimbwa na wasanii wakongwe wa muziki huo kutoka Tanzania Bara na Visiwani.
Staa huyo ambaye sasa anatamba na video ya Unanijua Unanisikia ameamua kumshirikisha msanii Linah kutoka THT ambaye naye kwa upande wake amesimama vilivyo katika nafasi hiyo.

Mwana FA alisema kuwa wimbo huo unafanana kabisa na zile nyimbo walizoimba wasanii wakongwe wa taarabu hapa nchini aliowataja kwa majina ya Siti Binti Saad, Malika pamoja na Bibi Kidude.
Wimbo huu kwenye chorus ameimba Linah na kurudia kwa melodi ile ile na kisha Mwana FA akaunganisha katika mashairi ya nyimbo hizo. Gitaa limepigwa na mmoja wa walimu wa muziki THT Cadinal Gento na biti ameisimamia Marco Chali kutoka MJ Records.

Thursday, November 10, 2011

WADAU WA VYOMBO VYA HABARI VYA ELECTRONIC WAKUTANA LEO...


Mkurugenzi mkuu wa TCRA John Nkoma(kulia),akijibu maswali ya wadau wa redio na televisheni,kwenye mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City,kushoto ni Mkurugenzi wa matangazo TCRA Habbi Ganze.
Wawakilishi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA),wakikusanya maoni ya wadau kutoka vyombo mbali  vya Redio na Televisheni,kwenye mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wizara ya Habari,vijana,utamaduni na michezo,Sihaba Mkinga(kulia) akiondoka kwenye ukumbi wa mikutano mlimani city,baada ya mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) na wadau wa redio na televisheni kumalizika jana,kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA John Nkoma

Wednesday, November 9, 2011

COMING SOON TOKA KWA SALAMA J...

Mkasi TV

SEASON 2 YA WANAWAKE LIVE COMING SOON...



Monday, November 7, 2011

REDDS UNI-FASHION BASH ILIVYOFANA KILIMANJARO....


 Moja kati ya burudani zilizotolewa kwenye tamasha hilo ikiendelea kwa mtindo wa Sarakasi na kuwa kivutio kikubwa-kundi hili lin
 Washindi wa shindano la Redds Uni Fashion Bash mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya kutangazwa kuwa




 Mshindi wa pili kwenye upande wa Mitindo----- toka chuo kikuu cha MUCCOBS na kujinyakulia kititta cha Tsh 500,000


wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoa wa Kilimanjaro wakimshangilia mmoja kati ya washiriki wa tamasha la Redds Uni Fashion Bash 201