BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Friday, November 26, 2010

Ujio Mpya Wa Tough Records



Ujio Mpya Wa Tough RecordsHii ni Studio ambayo ilishawahi kuwepo hapo miaka ya nyuma chini ya producer Mona G.But kutokana na mambo flani flani ya kimaisha ilisitishwa kwa muda.Lakini sasa Imerudi Tena Kwa Kishindo 

Chini Ya Producer mdogo Aliyejawa Skillz Za kutosha Kuweza Kuipeleka Game Ya Bongo Overseas Anayekwenda kwa jina la YOUN` GQ.So Let Do The Sheetz In Reality Katika NEW TOUGH RECORDsPamoja!!!!!!!!!!!!! 

Na kwa sasa inapiga dili zake Moro town(MASIKA)\
Kwa Mawasiliano zaidi +255712222244

Thursday, November 25, 2010

WATANZANIA TUSHIRIKI KUMPIGIA KURA PETER MSECHU ABAKI KATIKA TUSKER PROJECT FAME SEASON 4


 Peter Msechu
HII ni season ya nne tangu shindano la kusaka vipaji vya uimbaji la TUSKER PROJECT FAME lianzishwe na kampuni ya bia ya EAST AFRICA BREWELIES LIMITED kupitia kinywaji chake cha Tusker, tumeweza kuona baadhi ya watanzania wakijitahidi kushiriki katika ushindani huo kwa hali na mali ili kuweza kufanikisha kuchukua ushindi huo lakini kwa bahati mbaya nchi yetu haijawahi kupata ushindi kutoka kwa hao wawakilishi wetu walioenda kushiriki katika TUSKER PROJECT FAME.

Kuna wawakilishi tofauti tofauti walioshiriki kuweza kuiwakilisha TZ mmoja wapo ni hemed, Alex, na wengine wengi.Lakini katika season hii ya nne tuliwakilishwa na Aneth pamoja na Leah Mou, Cynthia na Peter msechu na waliobahatika kufika nafasi nzuri katika shindano hili ni Leah,Aneth ambao walitoka hivi karibuni kwa kukosa kura za kutosheleza. Mpaka hivi sasa Tanzania bado inawakilishwa na Mwana kaka PETER MSECHU ambaye kwa wiki iliyopita aliingia katika probation  na kwa sasa anaelekea kutoka endapo waTanzania hatutashirikiana kumpigia kura ili aendelee kuwepo.
 Leah 
Aneth
Ni ombi langu kuwa ili muwakirishi wetu aendelee kubaki katika mashindano ni vyema tumpie kura ili azidi kuwepo na kufanya vizuri na mwisho wa siku arudi na ushindi nyumbani ili kufuta historia iliyopo katika mashindano hayo kwa TZ.
Jinsi ya kumpigia kura PETER MSECHU aendelee kuiwakilisha TANZANIA andika neno TUSKER 9 tuma kwenda 15522 kupitia kura yako utakuwa umeweza kumpa nafasi  PETER MSECHU kubaki katika TPF 4 na kuzidi kufanya vizuri na kurudi na ushindi.
WATANZANIA TUSHIRIKI KUPIGA KURA NA PIA TUOMBE MUNGU MUWAKIRISHI WA TANZANIA PETER MSECHU AFANYE VIZURI….

Tuesday, November 23, 2010

RATIBA YA TV SIBUKA KWA WIKI NZIMA.


Kuanzia  tarehe 19 november 2010, kupitia katika king'amuzi cha startime kituo cha Television cha SIBUKA TV kilianza kurusha matangazo yake ya awali(TEST SIGNAL) Kwa Dar es salaam pekee.
Kwa wadau na wapenzi wa filamu na documentaries kibao waweza kupata burudani kupitia TV yako ya Sibuka kwenye king'amuzi cha startime. 

HII NI RATIBA YA TV SIBUKA KWA WIKI NZIMA KILA SIKU;
  
 TV SIBUKA
     ON TEST PROGRAMMES
        MONDAY – SUNDAY
TIMES (HRS)
     PROGRAMME
CONTENTS
05:00  -  07:00 AM
GOSPEL HITS

07:00 – 08:00 AM
GOSPEL SEMINAR

08:00 -  09:00 AM
CHILDREN

09:00 – 10:00 AM
KNOWNLEDGE

10:00 – 11:00 AM
JAZZ MUSIC

11:00 – 12:00 PM
DOCUMENTARY

12:00 – 18:00 PM
MOVIES /DRAMA

18:00 -  19:00 PM
GOSPEL HITS (R )

19:00 – 20:00 PM
GOSPEL SEMINAR (R)

20:00 – 21:00 PM
KNOWLEDGE ( R )

21:00 – 01:00 AM
ACTION MOVIES

01:00 – 05:00 AM
NEWS INT/ MUSIC MIX