BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Monday, September 19, 2011

WAZIRI KUU AHIMIZA BAAC-TZ KULETA MATUNDA KATIKA VITA DHIDI YA RUSHWA.

Dr Mary Nagu akisoma hotuba ya Waziri mkuu kwa niaba yake katika hafla ya uzinduzi wa jukwaa la wafanyabiashara wanaopambana na rushwa.. jijini Dar jana.

Sunday, September 18, 2011

MATUKIO KATIKA PICHA.... Uzinduzi wa 9th kisima awards 2011






KISIMA AWARDS KUFANYIKA TRH 30 SEPT...



Orodha ya Artist watakaowania tuzo za 9 za Kisima 2011 aka 9th Kisima Awards 2011 ambazo zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 30 September 2011 pande za KICC imetolewa kwa category 10 kushindaniwa na mshindiwa kila kipengele atasepa na Shs milioni 1 taslim za Kenya
FUSION-ARTIST/GROUP OF THE YEAR • Operator - Dan (Chizi) Aceda • Haba Haba - STL • Coming - Home Sauti Sol • Mama - Cannibal • Mukuki ya Moto - Masala • Romour - Wendy Kimani

GOSPEL – ARTIST GROUP OF THE YEAR • Bahasha ya Ocampo - Juliani • I live for you - BMF • Tobina - Daddy Owen • Uwezo - Adonage • Papa God Oh - MOG/Mr Seed • Taunet Nelel - Emmy Kosgei

BOOMBA – ARTIST /GOUP OF THE YEAR • Motomoto - French Boy Ft Ray C • Fire - Size 8 • Get Down - Maddtrax • Kigeugeu - Jaguar • Chokoza - Marya Ft Avril • Landord – Mejja

HIP HOP –ARTIST/GROUP OF THE YEAR • Kare - P Unit • Tokelezea - Abbas & Chantelle • Burn Dem - Ukoo Flani • Bahasha ya Ocampo - Juliani • Kadha - Nonini • Eee Baba – Kris

RAGGA/REGAE- ARTIST/ GROUP OF THE YEAR • Running Low - Wahu • Mama Papa - Sauti Sol • Shika Glassy - Redsan • Kolo - Wyre Ft 9con • Determination - Kevoh Yout • Data – Proff

COLLABO OF THE YEAR • Little things you do - Wahu Featuring Bobi Wine • She said dat - Wyre Ft Cecile • Nitafanya - Kidum Ft Lady Jay dee • I’m here - Kdenk & Sana • Papa God Oh - MOG & Mr Seed • Kila Moja - Nonini, Chege & Lady bee

MOST PROMISING ARTISTE/GROUP OF THE YEAR • Wendy Kimani • BMF • Adonage • Size 8 • Diamond • Kdenk

VIDEO OF THE YEAR • Coming Home – Sauti Sol, Director - Willie Ousu • Land lord – Mejja, Director - Charles Luche • Mbagala – Diamond, Director - Adam Juma • Nitafanya – Kidum/Lady Jaydee, Director - Robert Kimanzi & R Kay • Asha – TID & Top Band, Director - Adam Juma • Haturudi Nyuma – Julianna Kanyemozi & Kidum, Director - R Kay

BENGA-ARTISTE/ GROUP OF THE YEAR • Guruneti Timona Mburu • Wololo Dola Kabarry • Katimba Ken wa Maria • Mwanamke Wyre & JB Maina • Kwata Kawaya Mbuvi • Sena Iwanyi Emmanuel Musindi

ARTISTE/GROUP OF THE YEAR • Sauti Sol • Kidum • P Unit • Juliani • Maddtrax • Jaguar

TSJ BASH 2011 ILIVYOFANA PALE JANGWANI SEA BREEZE...

 Ilikuwa bata za nguvu katika Bash ilifanyika Jagwani sea breeze maeneo ya Kunduchi Mbezi... 03 september 2011. japokuwa imeshapita sana nimeona niwakumbushe wdau mambo yalivyokuwa...
Miss & Mr TSJ 2011 katika picha baada ya kutangazwa washindi.
 Wakishangilia baada ya kutangaza kuwa Mr TSJ 2011

 mshindi wa Mr TSJ akipita na vazi lake hilo la ubunifu..
 Vazi la ubunifu toka kwa Miss TSJ 2011
Washindi wa Mr & Miss TSJ 2010 waliomaliza Muda wao...
 Hapo washiriki wa Mr&Miss TSJ wakipita na Vazi la heshima...
 Wadau wakitizama kwa makini
 Mshindi wa pili wa Miss TSJ akipita na vazi la ubunifu...
Barnaba nae alikuwepo kusherehesha pia...

FLAVIANA MATATA SHOWCASE AT LONDON FASHION WEEK..





Kiasi fulani Tunakua eeh..

wakati tanzania inaadhimisha miaka 50 ya uhuru kumekuwa na maoni tofauti juu ya mafanikio ya nchi yetu tangu kupata uhuru swali nililonalo ni kweli tumepiga hatua katika nyanja zote za kiuchumi, elimu, siasa na masuala mengine yahusuyo jamii na hasa miundombinu??? 

wewe pekee unaweza kuliona hilo kwa mtazamo wako hebu fikilia Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele? jibu unalo basi....

HUU NI USTAA AMA UMAARUFU KUNUKA???...

 Jamaa mmoja mwenye asili ya kenya akikatiza uwanjani uchi katika mechi ya rugby kati ya England na Argentina ya mashindani ya dunia yaliofanyika new zealand.

hapa jamaa akipita uchi wa nyama mbele ya mchezaji wa Englanda.Baada ya muda wanausalama wa uwanjani hapo walimkamata.Inasemekana jamaa alifanya hivyo ili kujichukulia umaarufu kwani mchezo huo ulikua unaonyeshwa dunia nzima.
Na kutokana na sheria juu ya tukio hilo alilofanya jamaa anaweza kwenda jela miezi 3 au kulipa faini usd 5000.

VODACOM YAFIKISHA WATEJA MIL 10 KWA TZ..

Vodacom Tanzania inapenda kuwashukuru sana watanzania wote na hasa wateja wetu kwa kuendelea kushirikiana nasi hadi hivi sasa tumefikisha wateja milioni 10.
Tuna kila sababu ya kuendelea kuwashukuru wateja wetu na watanzania wote kwa ujumla kwa uaminifu na mchango wao mkubwa wanaoendelea kuuonyesha kwetu kwa kipindi chote cha miaka 11 sasa.
Mafanikio mbalimbali tuliyoyapata hadi hivi sasa ni matokeo ya kuelewa mahitaji muhimu ya wateja wetu na kuhakikisha kuwa tunayatimiza na kuwafanya wateja wetu waendelee kufurahia huduma zetu.
Kama tulivyowaahidi wakati wa mabadiliko ya muonekano wetu, tunapenda kuwasisitizia kuwa tutaendelea kuyatimiza yale yote tuliyowaahidi na kuyaboresha zaidi.
Vilevile, tunawahakikishieni kuwa tutaendelea kuwa mtandao ulio bora na unaotoa huduma na bidhaa za bei nafuu zaidi hapa nchini.
Ripoti ya idadi ya wateja kama ilivyotolewa na TCRA
Mtandao Vodacom Airtel Tigo Zantel TTCL Sasatel Benson
Wateja 10,000,000 5,927,417 4,671,263 1,354,098 226,153 8,498 2,074
Ahsante Tanzania.
Vodacom, kazi ni kwako