BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Saturday, June 25, 2011

IRENE KALUGABA AWA VODACOM MISS MWANZA

Vodacom Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa a picha pamoja na =mshindi wa pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia)a Monica James mshindi wa pili wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli mpya na ya kisasa kabisa ya Gold Crest karibu kabisa na hoteli kongwe ya New Mwanza Hoteli jijini Mwanza ambapo tayari shindano limekwisha na washindi ndioyo hao.

Friday, June 24, 2011

MISS MWANZA KUJULIKANA LEO.


Maandalizi ya miss mwanza yamefikia ukingoni na usiku wa leo atapatikana mshindi wa miss mwanza sooo tega sikio ujue nani kaibua ushindi huo.


DATE:-24-06-2011WAPI?:-GOLD CRREST HOTEL MWANZAKIINGILIO:-20,000 V.I.P na 10,000 seat za kawaida

Monday, June 20, 2011

UZINDUZI WA FIESTA - MWANZA ITAKUWA FUNIKA BOVU.......CHRIS WAMALYA NDANI YA JENGO!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chris Wamarya anatarijiwa kutumbuiza katika tamasha la muziki FIESTA 2011 mjini mwanza kama msanii mpya wa mwaka huu..


Katika kipindi cha hivi karibuni tayari ameachia wimbo wake mpya ujulikanao kama TUTOKE baada ya kutesa na wimbo wake wa kilomita sita… Blog hii inamtakia kila la heri katika show zake zoote za FIESTA Haina majotrooooo
HABARI ZEENYU BAAANA
Hii ndo list ya wakali watakaotumbuiza siku ya Fiesta katika viwanja vya CCM-Kirumba jijini Mwanza katika Uzinduzi wa Fiesta 2011...

SHAGGY

1. Fid Q

2. mataluma

3. SHAGGY

4. Ali Kiba

5. mwana FA

6. Mwasiti

7. Dully Sykes

8. Juma Nature

9. Barnabas

10. Linah

11. Chriss wamalya

12. Makomando

13. Recho

14. Sajna