Jioni ya leo tarehe 25 september Mshiriki wa BBA all stars kutoka Tanzania Mwisho Mwapamba ameweka historia ndani ya jumba hilo kwa kumchumbia mshiriki mwenzake aitwaye Meryl kutoka Namibia,
Mwisho alimvisha pete yenye madini ya Tanzanite mchumba wake Meryl huku tendo hilo likishuhudiwa na Baba yake mzazi na Meryl pamoja na shangazi yake, wakati huo kwa upande wa mwisho alikuwepo kaka yake aitwaye Roberty Mwapamba ambaye aliiwakisha familia yao.
Mwisho na maryl ndani ya BBA all Stars.