BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Friday, November 19, 2010

INTERLECTUALS GRAND BONANZA

 
KESHO SIKU YA JMOSI KWA WANAFUNZI WA VYUO VYOTE HAPA DAR KUTAKUWA NA INERLECTUALS GRAND BONANZA CHINI YA UDHAMINI WA GRAND MALT KINYWAJI CHENYE KIMEA HALISI, BONANZA HILO NITAFANA KATIKA VIWANJA VYA TCC CLUB CHANG'OMBE KURASINI.... MADENTI WOTEE MNAARIFIWA KUHUDHULIA KWANI KUNA MICHEZO KIBAO IKIWEMO FOOTBALL,BASKETBALL,NETBALL,VOLLEYBALL,RUNNING RACE NA TABLE TENNIS NA KIINGILIO NI BUREEEEE KABISA...... ITASHEREHESHWA NA TEMBA,CHEGE,CHID BENZ NA WANAUME TMK CREW..... Kwa info zaidi tembelea www.thazealottz.blogspot.com upate taarifa zaidi..!!
temba na chege stejini
VYUO KIBAO VIMEJITOKEZA KUSHIRIKI KAMA TIME SCHOOL OF JOURNALISM(TSJ), DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM(DSJ), INSTITUTE OF FINANCE AND MANAGEMENT(IFM), UNIVERCITY OF DAR ES SALAAM(UDSM), TIA,DIT, TUMAINI MZUMBE,OPEN UNIVERSITY, ST JOSEPH, NA VINGINE KIBAO VINAVYOPATIKANA HAPA DSM.. KWA MUJIBU WA MUAANDAAJI WA BONANZA HILO BW INNOCENT AMESEMA ITAKUWA NI YA KIPEKEE NA NI MOJA YA NAFASI YA KUWAUNGANISHA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI KWA KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO HIYO ILIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA SERENGETI BREWELIES LIMITED CHINI YA KINYWAJI CHA GRAND MALT.
innocent ktk press conference
NAWATAKIA UJIRANI MWEMA WANAFUNZI WOTEE NA WAJUMUIKE KWA AMANI.... tha zealot
show kutoka tmk family
its gonna be a partyyy yooo!!!
big muchoooo!!!

TV SIBUKA ON AIR NOW KUPITIA STARTIME DIGITAL SATELITE..


Kuanzia majira ya mchana leo tarehe 19 november 2010, kupitia katika king'amuzi cha startime kituo cha Television cha SIBUKA TV kilianza kurusha matangazo yake ya awali(TEST SIGNAL) Kwa Dar es salaam pekee.
Kwa wadau na wapenzi wa filamu na documentary kibao waweza kupata burudani kupitia TV yako ya Sibuka kwenye king'amuzi cha startime.

Thursday, November 18, 2010

ZEMBWELA AJIKITA KATIKA UTANGAZAJI.

MSANII wa vichekesho nchini Hillary Daudi (Zembwela) hivi sasa sauti yake inasikika ikirindima kupitia Redio East Afrika katika kipindi cha Super Mix akiwa na mtangazaji mahiri wa kipindi hicho Mussa Hussein, ushirikiano wa watangazaji hawa umeongeza burudani kama si ladha katika kipindi hiki cha Super Mix.

Zembwela alivuma sana katika vichekesho kipindi kirefu hasa wakati ule akiwa na marehemu Max walikuwa ni burudani ya kutosha wakati ule walikuwa wakitumiwa na kundi la kaole Sanaa Group kupewa sehemu fulani kwa ajili ya vichekesho lakini muongozaji wa kundi hili Chriss Mhenga kwa wakati ule baada ya kubaini vipaji vya jamaa aliamua kuwatenga na wasanii wa igizo na kupewa kipindi chao.
Hapa ndipo ilipozaliwa Mizengwe na kuteka hisia za watazamaji hata baada ya kufariki Marehemu Max Zembwela aliliongoza vema kundi lile na kuendelea kuwashika watazamaji katika masuala ya uchekeshaji akishirikiana na msanii mwezake Mkwere na baadae alipumzika na sasa wapenzi wake wanaendelea kupata burudani ya sauti yake kupitia Redio ya East Afrika.