Chuo cha uandishi wa habari cha Time School of Journalism wiki iliyopia siku ya jumamosi tarehe 19 feb 2011 kulikuwa na mahafali ya kumi ya kuwatunuku vyeti wahitimu wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa ngazi ya Diploma na Certificate kwa mwaka 2010- 2011. Sherehe hizo zilifanyika katika maeneo ya msimbazi center katika ukumbi wa Maranatha.Sherehe hizo zilihudhuliwa na wageni mbali mbali wa heshima na kupambwa na michezo mbali mabali kama uonavyo katika picha…. Mimi nilikuwa mmoja wa wahitimu hao.
Kwa matukio zaidi tazama picha hapo juu ujionee..