Sarah Kaisi
Thank u.Like i said on my Facebook Fan page ya Shaa,nawashukuru wote walionisupport by voting,bila kuisahau Academy ya Museke-MOAMAS.This is my 1st Win kwa ujumla,after many nominations katika Awards mbalimbali,ndani na nje,finally tumefanikiwa kujipatia ushindi.So nawashukuru sana mashabiki wangu,my friends na kila mtu aliyenisaidia by voting na hata by spreading the word.Naidedicate Award hii to all of u.
Kilimanjaro Music Awards 2008-ZAMU YANGU-Best RnB Kili Awards tena 2010 wimbo wa SHOGA-Best Video,Msanii Bora wa Kike, na Mwimbaji Bora wa Kike,MTV Base-MAMAs 2009-ZAMU YANGU,Best New New Act,ChannelO2010-ZAMU YANGU,Most Gifted East African Video,Channel O tena 2011- CRAZY, Most Gifted Afropop Video(Zinafanyika tarehe 11/11/2011) and MOAMAS2011-SHOGA won Best Afropop Song.