MSANII wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini MARLAW anatarajia kuachia kibao chake kipya kitakacho anza kuchezwa katika vitua mbalimbali hapa nchini kuanzia tarehe 7 mwezi huu.
Kwa mujibu wa taarifa zake mwenyewe alizozitoa katika mtandao huria wa facebook amesema kuwa wadau wake na wadau wa muziki pia wakae mkao wa kula kwa ajili yakupokea kibao kicho kipya kitakachokwenda kwa jina la ‘SORRY SANA’ kibao ambacho amesema kitawashika vilivyo mahsabiki wake.