BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Wednesday, July 28, 2010

NGOMA JIPYA LA TEMBA NA CHEGGE "FUNGENI MKANDA"

Chegge na Temba wanatarajia kutoa track mpya itakayoitwa "Vijana Fungeni
Mkanda"
Chanzo changu cha habari kimeinyaka hii huku jamaa wakiwaambia mashabiki wao wakae tayari
kupokea song lao hili
                                 kwani litakua ni moto wa kuotea mbali ukiachia ile ya
                                                                   'Mkono Mmoja'

             Jamaa kwa Sasa wako kwenye tour ya fiesta wakikamua mwanzo mwisho na
                   wamewaambia mashabiki wao kukaa tayari kwani album yao pia iko sokoni karibuni.

0 comments: