BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Friday, February 18, 2011

'GET READY FOR NEW SEASON'



Napenda kutoa shukran zangu za pekee kwa wadau wangu wote mlioshiriki kwa kutoa maoni na ushauri mbali mbali juu ya uboreshaji wa blog zangu,napenda niwa ahidi maoni yenu nitayafanyia kazi na ninawa ahidi pia sitawaangusha kuwapatia kile kinachokidhi mahitaji yenu.


Napenda niarifu kuwa new season ya blog ya www.filamutanzania.blogspot.com na blog ya www.thazealottz.blogspot.com zinaanza mapema mwezi March katika muundo na mwonekano mpyaaa kabisa hivyo nakusihi ukae mkao wa kula na uwe tayari kwa mabadiliko yatayojitokeza.Na pindi uonapo kasoro yoyote juu ya blog zangu usisite kutoa maoni yako juu ya hilo.


ASANTENI SAAANA NAOMBA TUKUTANE MARCH MWAKA HUU.

0 comments: