BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Thursday, August 11, 2011

REDDS YATOA ZWAI KWA WAREMBO MISS TANZANIA.

Meneja wa kinywajicha redd’s, Victoria Kimaro akimkabidhi mshiriki namba 26 kutoka kinondoni Husna maulid vifaa maalumu vitakavyotumiwa na warembo wa Miss Vodacom Tanzania 2011 wakati wa mazoezi jijini Dar es Salaam. 
 Baadhi ya Washiriki wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss  Tanzania 2011 wakianagalia vifaa walivyokabidhiwa jana na kutoka kinywaji cha Redd’s kwaajili ya kuwasaidia wakati wa mazoezi jijini Dar es Salaam.

Meneja wa kinywajicha redd’s, Victoria Kimaro akimkabidhi Layla Juma jana vifaa maalumu vitakavyotumiwa na warembo wa Miss Vodacom Tanzania 2011 wakati wa mazoezi jijini Dar es Salaam.

0 comments: