Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Juliana Kinyemuzi akitoa burudani wakati wa kinyang’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011 kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya majaji wakibadilishana mawazo kwenye king’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011 kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Pichani ni baadhi ya warembo walioshinda vipaji mbalimbali katika kinyang’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011 kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam juzi.kushoto ni Mwajabu Juma ,Trace Sospeter ,Maria Clara,Rose Hubert na Alexia Williams
Vodacom Miss Tanzania 2010, Genavive Mpagala (kulia) akimvika taji Miss Vodacom 2011,Salha Israel aliyekaa baada ya kutangaza mshindi wa kinyang’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011 kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Miss Vodacom 2011, Salha Israel akitabasmu huku akiwapungia mikono wageni waalikwa baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam .Kushoto ni Mrembo aliyeshika nafasi ya Tatu, Alexia William s na Kulia ni Mrembo wa Pili,Tracy Sospeter .
Voda Miss Vodacom 2011, Salha Israel (katikati) akionesha funguo wa gali aina ya Jeep Baada ya kutwaa taji hilo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam .Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Dietlof Mare
Mwanamuziki Bob Junior akitoa burudani kwenye king’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011 kilichofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Mwanamuziki Diamond akiburudisha mashabiki walihudhuria kwenye kinyang’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011
Michael Jackson wa Tanzania Emmanuel Maganga akiwapagawisha mashabiki walihudhuria kwenye kinyang’anyilo cha kumsaka mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2011
HARD PRICE COMING SOON
-
* Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa
kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila
nisinge...
TSJ yang'ara mashindano ya Utangazaji 2013
-
*Frank Aman, *Mwananchi
*Dar es Salaam*. Chuo cha uandishi wa habari cha Time School of Journalism
(TSJ) kibeibuka kidedea kwa kupata alama za juu katika...
QUEEN SPEAR NI BALAA
-
*Hii ni Poster ya Queen Spear,iliyosheheni mastaa kibao..inatabiliwa kuwa
ni filamu itakayofanya vizuri sana katika soko la filamu Tanzania..Usikose
kunu...
0 comments:
Post a Comment