BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Tuesday, March 20, 2012

TSJ Bash ya Welcome first year student

Mambo ya Schoolbash na kuska Mr na Miss TSJ

 MC wa shughuli ya TSJ Bash kavaa Bango top na Jeans ndani....... rangi ya bango
 Washiriki na Vazi la mtoko wapi.......................
 Mmoja wa wapnzi wa Bash kava Earing kubwa, neckless glass za jua, kitop na chini kimtandio usisahau kucheki shadow
 Mshiriki katika kinyanganyiro cha Mr TSJ na vazili Pwani
 Mmoja wa wapenzi wa Bash, chini simple, Jeans na top draft
  Mmoja wa wapenzi wa Bash, kitu animla print, balck top na traditional neckless
  Mmoja wa wapenzi wa Bash, chini flat skin Jeans top ni color na glass, mkoni bango za....................
  Mmoja wa wapenzi wa Bash, chini falt, long pens, mkononi bango hapa uywele.............
 Washiriki wa kinyanagnyiro cha Mr na Mss TSJ
 Huyu ndiyo no 2 ya TSJ
 Mashabiki kama kawa piga hesbu za viwalo
 Mshiriki katika Mss

 Mshiriki katika Miss
 Kwenye msako wa taji
 Hawa ndio waliowania taji la TSJ
 Nipo kazini na Kitu Jeans shati miraba
 Mmoja wa waandaji wakidajili
 Chief Judge wa kinyanganyiro, Taji wakimalizia hesabu
 Hapa ni Uywele na kitu drafti kwa glass
 Ubonge wataka umakini ktk uvaaji
 Mr TSJ na mmoja wa ......................
 Jamani umependeza..........................
 Kitu white na shati la.........bila kusahau kiatu chan black
 Mwaandaaji na msimamizi wa Kinyanganyiro, hapa ni neckless yake na earing
 MR NA MISS TSJ
 Chief Judge, Taji akikabidhi
Chief Judge, Taji akikabidhi
  Judge, Taji akikabidhi
  Judge, Taji akikabidhi
  Judge, Taji akikabidhi
  Judge, Taji akikabidhi
  Judge, Taji akikabidhi
 Judge, Taji akikabidhi
 Jamani Judge..............
 washiriki na majaji kwa pamoja
 Baada ya kazi tunakula dawa
 Mimi nilionelea mtoko huu ndio powa kwa shughuli hii je wewe? msemo wamshriki
  Mimi nilionelea mtoko huu ndio powa kwa shughuli hii je wewe? msemo wamshriki
  Mimi nilionelea mtoko huu ndio powa kwa shughuli hii je wewe? msemo wamshriki
 Aiyekuwa Miss TSJ 2011
 Wakishuhudia washirki wa shindano wakiwania taji
 Taji na Ferouz
 Ferouz akifanya mambo
 Na msapoti Ferouz lakini mtoko wangu uko powa? Kitu tight
Tna msapoti Ferouz lakini mtoko wetu uko powa? Kitu tight
 Kumbuka enzi hizi nazo
 Tight ndio ya mahali hapa.................. bila kusahau neclkess
 Tight kwa sana.....................
 Tght Jeans huku kuna Jeans na draft yotehayo kwa glass

 Nyakati hazipti kitu maua

Sunday, March 4, 2012

10 March this year @ Belinda beach..


Miss TSJ Finalists

MISS TSJ KUPATIKANA MARCH 10 BELINDA BEACH...


Amina Sangawe
Anitha Kitobero (Miss TSJ 2011)
 Rose Pilliad
 Christina Dodo
 Winnie Urio
 Tumaini Mapasa
Alice Donatus
 baadhi ya washiriki wa Miss TSJ katika pozi baada ya kumaliza mazoezi ya maandalizi ya shindano hilo.
Wakati mashindano ya Miss Tanzania yanatarajiwa kuanza hivi karibuni katika hatua za awali, mapema mwezi huu chuo cha uandishi wa habari cha Time School of journalism (TSJ) kinatarajia kumpata mrembo atakaye tununikiwa taji la Miss TSJ 2012.


Mshindi wa kinyang’anyiro hicho anatarajiwa kupatikana tarehe 10 March katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza inayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Belinda Beach maeneo ya Kawe wilaya ya Kinondoni.


Akizungumza na waandishi wa habari, makamu wa Rais wa uongozi wa wanafunzi wa chuo hicho Bi Zainab Mlawa alisema kuwa tayari wamekwisha pata warembo ambao wameanza maandalizi kwa ajili ya kuelekea katika fainali hizo.


“Tayari tuna warembo 11 ambao watachuana katika sherehe hiyo na mpaka hivi sasa maandalizi ya mashindano ya Miss TSJ pamoja na sherehe hiyo yapo katika hatua za mwisho,” alisema.


Bi Mlawa alisema kuwa katika kumtafuta mshindi wa taji hilo tayari uongozi wa serikali ya wanafunzi (TISJOSO) imekwisha panga jopo la majaji ambao ni wadau wa muda mrefu katika tasnia hii na wanatarajia kuwatangaza majaji hao pamoja na zawadi za washindi hivi karibuni.


Alisema kuwa sherehe hiyo imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ya Time School of Journalism (TISJOSO) na itajulikana kama Welcome First Year Special Bash ambayo imelenga kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa ngazi zote kuanzia ngazi ya cheti, stashahada kwa mwaka huu.


Bi Mlawa alisema mashindano ya mwaka huu ni mashindano rasmi na yako tofauti na mashindano yaliyowahi kufanyika hapo awali. Kwa kuwa mashindano yaliyokuwa yakifanyika mwanzoni yalikuwa hayana tija kwa washiriki kwani hayakuwawezesha kupiga hatua yoyote ya kuendeleza kipaji hicho licha ya kuwa kuna baadhi ya waliofanikiwa kuendelea katika tasnia hiyo.


“Mpaka hivi sasa washiriki waliojitokeza ni 11 na tunazidi kuwahimiza wajitokeze kuchukua fomu ili washiriki katika mashindano hayo na wao watambue kuwa mashindano haya humpatia cheti cha heshima mshindi,  na mbali na zawadi pia cheti hicho ni kama utambulisho ambacho kitampa nafasi ya kuonyesha ushiriki wake katika mashindano hayo,” alisema.