Kwa taarifa na burudani ni station hii tuu ndo yaweza kukupatia kile unachokihitaji katika nyaanja zote za burudani na habari.
headphone
Kutana na member wa sibuka fm na fahamu vipindi vyao kila siku za wiki.
MARK EVANC katika pambazuko lafrika mashariki
KAMAL ABDUL katika kipind cha 180 power
moja ya mic ya studio
JUMA BAKARI(JB)ndani ya pepeta Afrika na KAMAL ABDUL
COMING SOON KUPITIA KING'AMUZI CHA STARTIMES NI SIBUKA TV KATIKA MAENENEO YA MWANZA , DAR , ARUSHA NA DODOMA UTAPATA NAFASI YA KUBURUDIKA NA KUHABARIKA NA KITUO HIKI BORA CHA TELEVISHENI KITAKACHOKUJIA HIVI KARIBUNI
0 comments:
Post a Comment