BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Saturday, July 3, 2010

SIKILIZA BAABKUBWA SAA 10:00 USIKU MPAKA SAA 01:00 USIKU KUPITIA SIBUKA FM



NI SHOW KALI NA YA KIJANJA INAYOKUPA NAFASI KUSIKILIZA NGOMA KALI ZA MTONI, BONGO FLAVA, UGANDA KENYA NA NYINGINE NYINGI.



Kutana na frank Aman Mawenya aka Tha Zealot katika show hii kupitia sibuka fm 94.0 kwa Pwani na Dar, 97.0 kwa Maswa na 104.9 kwa Shinyanga na kupitia Satelite kwa Audio Four katika upande wa kulia(right) kwenye TBC1 Television




BAAAAAAAAABKUBWAAAAAAAA!

0 comments: