Kutana tha Zealot katika kipindi cha "MKESHA WA KAZI" Bonge la show kuanzia mida ya saa 7 usiku mpaka saa 11 alfajiri,
Tha Zealot
Kupitia show hii unapata nafasi ya ku request ngoma kali katika 9t kali kaa hii na kudedx it kwa memba watano yaaaaap watano bila Ubishi.
Tha Zealot with Omar(jembe)
Pia mida ya saa kumi na moja ni kuamshana kwa njia ya simu katika segment ya amka na Sibuka fm mida ya saa 11 hadi saa 12.
Tukutane basi mida hiyo!
GAMBE JINGINE katika show tight yaBAABKUBWA siku za ijumaa na jmosi na sunday kuanzia mida ya saa 4 mpaka ngoma 7 hivi pale kati nakupa milazo tuu non stop na info kibao za ma celebrity so kama vipi tuchekiane tyme hizo kupitia;
94.0 KWA PWANI NA DAR, 104.9 SHY TOWN NA 97.0 KWA MASWA PIA KATIKA SATELITE KUPITIA TBC1 KATIKA AUDIO 4 RIGHT pale katiiiiiiiiiiiiii mazeeeeeeee
Tha Zealot with Omar(jembe)
Freequence zijazo kupitia Sibuka fm;
MWANZA 95.5,
BUKOBA 92.6,
KIGOMA 97.6,
DODOMA 92.0,
ARUSHA 104.6,
MBEYA 97.6,
MTWARA 96.2
SIBUKA FM SAUTI YA JAMII YA AFRIKA YA MASHARIKI
PAMOJA TUNAWEZESHA JAMII
0 comments:
Post a Comment