BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Saturday, June 18, 2011

MWANA FA NDANI YA BONGO STARZ NITE KESHO

Usiku wa Kesho Jumapili utakuwa hautoshi pale pande za Billicanas atakapo dondoka msanii Mwana FA kupiga show ya kubustisha...
kama una mikono miTano ibuka tuu tukutane palee siku hiyo.

0 comments: