BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Sunday, September 18, 2011

HUU NI USTAA AMA UMAARUFU KUNUKA???...

 Jamaa mmoja mwenye asili ya kenya akikatiza uwanjani uchi katika mechi ya rugby kati ya England na Argentina ya mashindani ya dunia yaliofanyika new zealand.

hapa jamaa akipita uchi wa nyama mbele ya mchezaji wa Englanda.Baada ya muda wanausalama wa uwanjani hapo walimkamata.Inasemekana jamaa alifanya hivyo ili kujichukulia umaarufu kwani mchezo huo ulikua unaonyeshwa dunia nzima.
Na kutokana na sheria juu ya tukio hilo alilofanya jamaa anaweza kwenda jela miezi 3 au kulipa faini usd 5000.

0 comments: