BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Thursday, November 10, 2011

WADAU WA VYOMBO VYA HABARI VYA ELECTRONIC WAKUTANA LEO...


Mkurugenzi mkuu wa TCRA John Nkoma(kulia),akijibu maswali ya wadau wa redio na televisheni,kwenye mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City,kushoto ni Mkurugenzi wa matangazo TCRA Habbi Ganze.
Wawakilishi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA),wakikusanya maoni ya wadau kutoka vyombo mbali  vya Redio na Televisheni,kwenye mkutano uliofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wizara ya Habari,vijana,utamaduni na michezo,Sihaba Mkinga(kulia) akiondoka kwenye ukumbi wa mikutano mlimani city,baada ya mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) na wadau wa redio na televisheni kumalizika jana,kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA John Nkoma

0 comments: