Mbunge wa Lindi Mjini Salum Barwany akizungumza wakati mkutano na waandishi jijini Dar es Salaam jana, kuhusu maandalizi ya chakula kwa ajili ya harambee ya cha kuchangia Sh500millioni kwenye mfuko wa maendeleo ya watu wenye ulemavu wa ngozi wa Barwany Albinism development trust fund (BADEF), hafla inatajiwa kufanyika mwenzi wa pili mwaka ujao. Kushoto ni Mtunza fedha wa BADEF, Thomas Monji na kulia nimsaidizi wa Mbunge, Godfrey Mbowe.
“AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH
MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT
-
The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African
Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album
features Top Artist...
6 years ago
0 comments:
Post a Comment