BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

www.thazealottz.blogspot.com

Promo

Monday, July 19, 2010

Bongo Star Search 2010 yanukia



Shindano la kumtafuta Bongo Star Search 2010 limetangwazwa rasmi kuanza na usaili kwa mwaka huu wa 2010 utaanza mkoani Arusha.
Tarehe 17-18th July itakua pale Impala Hotel Arusha.
Tarehe 24-25th July Itakua Dodoma Rock Hotel.
30-31st July Itakua  Villa Park Resort Mwanza.
Tarehe 10-12th August  itakua Coco Beach Dar Es Salaam.
Kama wewe unaona una kipaji  na unataka kuwa star usisite kujitokeza siku na tarehe ambazo zimeandikwa hapo na ukajiandikisha.

0 comments: